Jijini Tanga tukiwa na mstahiki Meya wa Jiji(3 toka kulia),mkurugenzi wa jiji (2 toka kulia),mganga mkuu wa jiji(1 toka kulia),Mwenyekiti wa TANCDA taifa(5 toka kulia), mwakilishi wa mganga mkuu wa mkoa (2 toka Kushoto),Mwenyekiti wa TANCDA tawi la Tanga( 1 toka Kushoto)wafadhili wa TANCDA, Katibu wa TANCDA tawi la Tanga (waliosimama 1 toka Kushoto) na project manager wa TANCDA taifa(waliosimama 1 toka kulia).

KWA PAMOJA TULIFANYA MATEMBEZI YA HISANI KUTOKA UWANJWA WA MKWAKWANI HADI ZAHANATI YA NGUVUMALI NA BAADAE ULIFANYIKA UPIMAJI WA MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA BURE.

PAMOJA TUNAWEZA KUZUIA MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA

CategoryHealth
Tags
All rights are reserved | Tancda 2018 | Designed by JIPU WEB SOLUTIONS