Mtaalam wa magonjwa ya moyo Dr Tatizo Waane kutoka hospitali ya taifa Muhimbili akimhudumia mtoto ambaye ana tatizo hilo akiwa amesindikizwa na baba yake.

Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakangata (CCM) Mkoa wa Rukwa, akipimwa mapigo ya moyo wakati wa programu maalumu ya wabunge kupimwa afya zao. Programu hiyo ilifanywa bure na Shirikisho la Vyama vya Magonjwa yasiyo ya Kuambukiza katika Zahanati ya Bunge, Dodoma leo. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Leonidas Gama akipimwa afya na Muuguzi Asha…

All rights are reserved | Tancda 2018 | Designed by JIPU WEB SOLUTIONS