
CHAIRMAN PROF ANDREW SWAI VICECHAIR DR DIGNA RIWA TREASURER DR TATIZO WAANE SECRETARY DR KAUSHIK RAMAIYA ASSISTANCE SECRETARY DR DELLILAH CHARLES BOARD MEMBERS 1.DR RWEYEMAMU 2.MR MONGI 3.DEUS KAJUNA 4.DR ASAFU 5.MARY MATERU 6.KUKOLINDA KAGARUKI 7.DR MARIAM KALOMO 8.DR SARAH MAONGEZI

Jijini Tanga tukiwa na mstahiki Meya wa Jiji(3 toka kulia),mkurugenzi wa jiji (2 toka kulia),mganga mkuu wa jiji(1 toka kulia),Mwenyekiti wa TANCDA taifa(5 toka kulia), mwakilishi wa mganga mkuu wa mkoa (2 toka Kushoto),Mwenyekiti wa TANCDA tawi la Tanga( 1 toka Kushoto)wafadhili wa TANCDA, Katibu wa TANCDA tawi la Tanga (waliosimama 1 toka Kushoto) na…

Utangulizi Ulaji unaofaa ni pamoja na kula chakula mchanganyiko, cha kutosha na chenye virutubishi vyote kwa uwiano unaotakiwa. Kula matunda angalau mara mbili kwa siku na kula mboga mboga kwa wingi. Ulaji unaofaa ni lazima uzingatie matumizi ya mafuta kwa kiasi kidogo. Mafuta ya nyama sio mazuri sana kwani yanahusishwa na magonjwa ya moyo, badala…